UKATILI,BOKOLI-WEBUYE MAGHARIBI.

Familia moja katika kijiji cha Sango-Matunda Milani kata ya Bokoli,Webuye magharibi kaunti ya Bungoma inaomboleza kifo cha mwanao Peter Barasa wa darasa la pili katika shule ya msingi ya Sikimbilo baada ya mwili wake kupatikana kwenye shimo la choo huku sehemu za mwili zikiwa zimekatwakatwa.
      (ILANI-PICHA HIZI NI ZA HOFU)
   sehemu za mwili wa mtoto,Peter Barasa baada ya kuondolewa kwenye shimo la choo.
  Ukizihitaji tuma ujumbe "picha"kwa whatsapp-0797272770
Akisungumza na kituo hiki mamake mzazi wa mtoto huyo wa miaka minane Bi Lindah Sangura,ameeleza kuwa tangu mwanawe kutoweka Siku ya Jumanne wiki Jana,alishikwa na masikitiko baada ya kupata ripoti kuwa mwili wa mwanawe umepatikana ndani ya choo.
Mamake marehemu ambaye ni mjane,aliye na familia ya watoto 10,amesema licha ya mumewe kufariki na kumwachia uzao,hali ya mapato imekuwa ngumu kwenye upande wake ,hali iliyolazimu mzee Wanjala Sitini Kumuridhi,pasipokujua angeweza kutekeleza maafa haya.
    (ILANI-PICHA HIZI NI ZA HOFU)
mguu wa mtoto Peter Barasa baada ya kutolewa kwa shimo la choo.
Ukizihitaji tuma ujumbe "picha"kwa whatsapp-0797272770
Muathiriwa aidha amesema baada ya mumewe kufariki mwaka 2022,jamii ya mumewe imekuwa ikimutenga na wakati angehitaji usaidizi kutoka kwao,huwa anakashifiwa,hali iliyomulazimisha kupata uridhi nche ya jamii hiyo.
"Huyu mzee  vile alikuja kwa boma langu alikuja kama msaidizi,tangu mzee wangu afe 2022 sikuwa na mtu wa kunisaidia kama ni ukoo ilinikataa Mimi nikashindwa la kufanya nikienda usaidizi wananifukuza,sikujua anaweza nifanyia mambo kama haya", kauli ya mamake marehemu,Bi Lindah Sangura.
Imebainika wazi kuwa mshukiwa,anayefahamika kwa jina Wanjala Sitini,baada ya kutafautiana na mama ya marehemu,aliweza kutoa matamshi ya hofu kwa mjane huyo.
"Alimwambia mzee wa kijiji baada ya kutofautiana na yrye kuwa atanifanyia kitendo ambayo sitawahi kisahau maishani mwangu", mamake marehemu Bi.Lindah Sangura.
Marehemu aliweza kuonekana mara ya mwisho akiwa na mshukiwa Jumanne tarehe 16 Julai 2024 mwendo wa saa 1pm.
Juhudi za familia  kupiga ripoti katika vitengo husika vya utawala hazikufua dafu hadi usiku wa kuamkia Jumatatu,22 Julai 2024 ambapo  mkaazi mmoja alikuwa ameenda haja nakupatana na harufu ya kiumbe ambacho kinaoza.Hali iliyomulazimu kumulika shimono mwa choo hiyo na kuona sehemu za mwili wa mtoto zikiwa ndani.
Nyongesa Muresia,naibu mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya kikatoliki ya Sikimbilo,akihoji mwanafunzi huyo wa darasa la pili katika shule yake alikuwa mzuri.
" Jumatatu alikuwa shuleni,halafu Jumanne vile alienda maakuli ya mchana hakurudi,usiku wa leo tumesikia mtoto aliuawa na kutupwa kwa choo,alikuwa mchangamufu,mtoto alikuwa mzuri mcheshi mwenye anapenda kukaa na wenzake.Hakuwa na shida yeyote",Kauli ya Muresia.
Wenyeji kutoka maeneo haya nao wameonyesha hisia zao kufwatia unyama huo huku wakisema mshukiwa ni mtu mwenye akili timamu na kuwa wamesikitika kwa kitendo alichotekeleza.
Kufwatia hali hii ya unyama,wakaazi walioshikwa na hasira,waliendeleza msako wa kumutafuta mshukiwa na kumuangamiza kwa  kumuteketeza na kubomoa nyumba yake.
mshukiwa wa mauaji,Wanjala Sitini,akamatwa na Umma-Temba,Kimilili.
mwili wa mshukiwa wateketezwa,Temba-Kimilili.
Miili ya wafu imehifadhiwa katika makafani ya kimilili huku mipangilio ya maziko zikianza.
Uchapisho wake,
Simiyu Sakwa,
Bungoma

Comments

Popular posts from this blog

BUKUSU CULTURAL CENTRE

KUMWONJOLOLI KWE LIMENYA LIA KUKHU DINAH NAFULA MANYONGE.