SEKTA YA ELIMU
ELIMU,BOKOLI.
Shughuli za masomo zakatishwa ghafla na wanafunzi kulazimika kurudi kwa mikono ya wazazi wao hadi siku ya Jumatatu tarehe 18/3/2024 katika shule ya upili ya wavulana ya Bokoli kufwatia bweni moja la hilo shule kuteketea usiku wa kuamukia leo.
Kufwatia mkasa wa moto ulioshuhudiwa katika shule ya upili ya marafiki ya wavulana ya Bokoli usiku wa kuamkia leo,shughuli za masomo zimelazimishwa kukatizika baada ya bodi ya shule hiyo pamoja na Direkta wa Elimu kaunti ya Bungoma Mung'oma Pius kuamuru wanafunzi hao kurejea mikononi mwa wazazi wao hadi wiki lijalo huku uchunguzi wa kina ukizidi kuendelea ili kubaini swala lililosababisha hali hiyo.
.......INSERT.........MUNG'OMA........
Naye mwaniaji uwakilishi wadi wa Bokoli Martin Swalle akihoji kuwepo haja ya kupea wanafunzi kibau mbele ili kusikizwa kwa matwakwa yao hitajika kama njia mojawapo ya kuzuia hasara zinazotokona na visa hivi.
.......INSERT.......SWALLE......
Bweni hili lilikuwa Makaazi ya wanafunzi 80,ambao wote walipoteza Mali zao wakati walikuwa madarasani mkasa huo ukitokea.Hamna majeruhi wala kifo kilichoshuhudiwa.
Uchapisho wake.....
Simiyu Sakwa
Webuye,Bungoma.
Comments
Post a Comment