Posts

Showing posts from February, 2024

UONGOZI NA ELIMU HITAJIKA

Image
BUNGOMA : Makanisa yamehitajika kuwa kielelezo cha kukosoa maovu humu nchini ili kuweka taifa kwa  ustaarabu wa utendakazi kutoka kwa serikali.Ni Kauli yake kamishna Jack Tumwa akihotubia waombolezaji  kwenye hafla ya mazishi katika kijiji cha makunda,kata ya Bokoli Magharibi mwa Webuye. Tumwa ambaye amewahi hudumu kama mmoja wa makamishna wa tume ya zamani ya uchaguzi humu nchini ECK,amesema madhehemu yanatakikana kuwa wazi kukosoa serikali pasipo na uoga  kufwatia hali ngumu ya maisha ambayo wakenya wanapitia kwa sasa. "Wenzangu wakristu,sisi tunazama hatukuji kuambia watu kinachotendeka kwa kuhofia tusichokijua,hili taifa ni lazima zote tuamke tuseme hatuendi kwa mkondo mzuri tuliombee taifa hili ndio maana wanaotuongoza watatusaidia turekebishe panapohitajika", asema ambassador Tumwa. ....... kauli ya sauti iliyonaswa ipo. ....... Haya yamesungumziwa katika hafla ya mazishi katika kijiji cha Makunda-Kata ya Bokoli Eneo bunge la Webuye Magharibi. Mwakilishi wadi wa Bokoli