Posts

Showing posts from January, 2024

CHAMBUZI LA WIKI

Image
GATUZI LA BUNGOMA : WEBUYE MAGHARIBI .  " HESHIMU UAMUZI WA MAHAKAMA:PALANG'A AMWAMBIA RAIS RUTO". Mwakilishi wa wadi ya Olkaria,kaunti ya Nakuru Peter Palang'a amutaka Rais Dkt.William Ruto kuheshimu uamuzi wa mahakama kufwatia pendekezo la serkali ya Kenya kwanza la ujenzi wa nyumba za serkali Palang'a anayewakilisha wakaazi wa Olkaria kwa hatamu ya nne kupitia kwa chama cha ODM,Kwenye hafla moja ya mazishi  ya mwalimu mstaafu Job Nakitare katika kijiji cha Sirandafu,kata ya Mahanga-Webuye magharibi,amesema Wakenya wengi wanapitia hali ngumu  kufwatia gharama za juu za maisha ikiwemo bei ya vitu vya matumizi ya kila siku kwa mwanainchi wa kawaida kupanda kila wakati.Aidha mtetezi huyo amesema ipo haja mbunge wa Webuye magharibi Dan Wanyama kuwajibika na kusemezana na Serkali kuu chini ya Wizara ya usafiri na uchukuzi kuafikia njia mwafaka ya makubaliano ili mwanakandarasi aliyepewa nafasi ya kukarabati barabara ya Sikata-Kimilili imalizike. " Si...