Posts

KIDOLE CHA LAWAMA:HOSPITALI YA BOKOLI

Hafla ya Mazishi ya Pamela Namulanda katika Kijiji cha Namilimo wadi ya Bokoli yakuwa uwanja wa kulekezea kidole cha lawama kwa usimamizi wa hospitali ya Bokoli.Marehemu aliaga baada ya madaktari kuzembea kumhudumia haraka wakati wakujifungua hali iliyosababisha maisha ya watu wawili kupotea.Madai mengineyo ni kuwa kuchelewesha kupewa rufaa ya kuenda Webuye kwa usaidizi ilisababishwa na ukosefu wa Ambulensi iliyokuwa imeenda Mjini Bungoma mafuta.Viongozi walalamikia swala hilo wakitaka huduma za matibabu ikiwemo upasuaji na Ubanuzi wa wodi kuimarishwa hospitalini humo. Jack kawa,mwakilishi Wadi ya Bokoli akisisitiza kuwa anaanzisha mkondo wa kubaini ni sababu gani Ambulensi hiyo haiwezi kuajibika huduma za watu wa Bokoli bali ni maswala mengineyo. Kawa alitumia hafula hiyo kuthibiti na kusema kina mama wasije kudanganywa kutozwa fedha iwapo wanazo kadi za Linda mama wakati wa kujifungua. Watahiniwa wa darasa la 8 mwaka huu waliopata alama 350 na juu waliombwa kutuma maomba yao ya kupat...

BUNGOMA EDUCATION CC BETTY MAYEKU AT KUYWA PRIMARY FOR ECDE CLASSROOM CONSTRUCTION LAUNCH

Youths make use of government money to further your studies in Polytechnics and institutes,let us also not to forget to take other courses apart from teaching and medical because they all has a value and chances of employment:Betty Mayeku,Bungoma county CC for education in a launch ceremony for ECDE classroom construction at Kuywa primary,Kabuchai sub county-Bungoma county.

WIZI WA NG'OMBE-KIMILILI,BUNGOMA

Image
Wezi wasiojulikana wamuibia mzee Maurice Khaemba ng'ombe mjamzito katika Kijiji cha Buko Wadi ya Maeni eneo bunge la Kimilili.Juhudi sa kuitafuta zilifua dafu baada ya kuipata karibu na hospitali ya Kory mitini ikiwa imechinjiwa na miguu yote ya mbele na nyuma kukosekana.Kauli iliyoungwa mkono na mwakilishi wa Kijiji mjini Kimilili na mwenzake wa Buko huku wakiomba serikali kujitahidi vilivyo kupigana na vitendo hivyo na kuomba wakaazi kutoa ripoti mwafaka kwa serikali iwapo yeyote atapatikana akiziuza nyama kiholela.

WEBUYE WEST PARLIAMENTARY STRUGGLE HITS OFF

 Journey for Webuye West parliament representation hits off as many aspirants awake to succeed the two-term serving Jubilee MP Dan Wanyama.Sources say Wanyama(Sitting MP)may have a  tough mapwork to serve for 3rd Term following a number of turnup aspirants showing ambitions for succedings the current MP. The sooffer aspirants who showed ambitions in the bid is Eng.John Wanjala Aspro-Business Man,Kelly Walubengo,John Musundi,John Wasike (Bungoma county Agricultural chief officer),Boaz Maloba(University Student),Steve Biko Peter Sitati among others. The litmus paper for Webuye West is that which party or whose characters will influence the ground positively. Current situation for Webuye West  mirrors on the foot-ground of a person.As earlier observed,the sitting MP is a child friendly academically and supportive to churches. Ground obseverves John Wanjala Aspro as a social leader,welcoming and practising equity for all.Aspro has been always supportive for youths and student...

Friends School Kamusinga On Fire - Soko Directory - Research . Mapping . Tracking . Your Investment

Friends School Kamusinga On Fire - Soko Directory - Research . Mapping . Tracking . Your Investment : Friends School Kamusinga has joined the more than 10 secondary schools in the country that have gone down in flames. Kamusinga is one of the education giants in Western Kenya that gained the ‘national school’ status two years ago. According to reports from the Red Cross Kenya, a dorm called Jamhuri caught fire when students …

Embakasi East Constituency back to ballot

Image
High court today 2nd march 2018,nullifies Hon.Babu Owino's  victory as Embakasi East mp. "Jubilee has just postponed my win", Owino still claims that he's going to win,a few minutes after the court's declaration.

Zuma,resigns

South African president H.E Jacob Zuma resigns from office.